Toleo la majaribio — nauli ni za mfano hadi viwango vya LATRA vithibitishwe.

Nauli unayoiona ndiyo unayolipa.

Hakuna kubishana bei. Chagua bodaboda, bajaji au gari, uone bei kamili, kisha dereva wa karibu anakufuata.

Muda wa safari
Posta
Mlimani City
13.0 km
Bei kamili unaiona kwenye app kabla ya kuomba safari.
M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel · HaloPesa Visa & Mastercard Taslimu Kiswahili · English · Français

Chagua kinachokufaa

Kutoka bodaboda ya haraka kwenye foleni hadi gari la familia nzima.

Bodaboda
Haraka zaidi kwenye msongamano. Kofia ya usalama inatolewa.
Mtu 1
Safari fupi
Bajaji
Nafuu, ina kivuli cha mvua na jua.
Watu 2–3
Mitaa ya karibu
Gari
Gari lenye AC, mizigo inaingia kwenye buti.
Watu 4
Kila siku
Gari Kubwa
Nafasi ya mizigo ya uwanja wa ndege au familia.
Watu 6–7
Uwanja wa ndege

Hatua tatu

1

Weka unakoenda

Andika mahali unapoenda. Utaona bei ya kila aina ya usafiri kabla ya kuomba.

2

Dereva anakufuata

Tunamtafuta dereva wa karibu zaidi. Mfuatilie kwenye ramani hadi afike.

3

Lipa jinsi upendavyo

Simu, kadi au taslimu. Bei ni ile ile uliyoiona mwanzoni.

Njia tatu za kulipa

Chagua kabla ya safari. Hakuna gharama ya ziada kwa njia yoyote.

Malipo kwa simu

Ombi linakuja kwenye simu yako. Weka PIN yako na umemaliza — hakuna kutafuta chenji.

M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

Kadi

Visa na Mastercard, kwa ulinzi wa 3-D Secure wa benki yako.

VisaMastercard

Taslimu

Mlipe dereva mwenyewe mwishoni. Bei ni ile ile.

Bei sawa

Endesha na Kwema

Bodaboda, bajaji au gari. Unaona unachopata kabla ya kukubali kila safari.

  • Leseni halali ya udereva
  • Leseni ya LATRA ya usafirishaji
  • Bima hai ya chombo
  • Kitambulisho cha NIDA
Jiunge kama dereva
Nauli ya safari 100%
Kamisheni ya Kwema − 15%
Unachobaki nacho 85%

Safari za taslimu unabaki nazo mkononi; kamisheni pekee ndiyo unayorudisha.

Jaza fomu, tutakupigia

Anza na jina, simu na barua pepe. Nyaraka — leseni, bima na NIDA — zitafuata baadaye.

  1. Jaza fomu hii
  2. Tutakupigia simu kukuelekeza
  3. Leta nyaraka zako
  4. Anza kupokea safari

Pata app ya Kwema

Fuatilia dereva kwenye ramani, hifadhi maeneo unayoenda mara kwa mara, na ulipe kwa mguso mmoja.

Kwema
Unaenda wapi?
Gari
Watu 4
Boda
Mtu 1
Omba Gari